PrivChat

Mjadala kuhusiana na teknolojia, haki za binadamu,
na uhuru wa mtandao umeletwa kwako na Tor Project

PrivChat ni mfululizo wa matukio ya harambee yaliyofanywa kuchangia Tor Project. Kupitia PrivChat, tutakuletea taarifa muhimu kuhusiana na nini kinaendelea katika teknolojia, haki za binadamu, na uhuru wa mtandao kwa kukusanya wataalamu wabobezi kuwasilana kwa majibinazo na jamii yetu.


Sura ya #1-faragha ya mtandaoni mwaka 2020: Uharakati na COVID 19

Angalia

Ulipottokea mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 nchi nyingi duniani, serikali nyingi ziliangalia teknolojia zinazoweza kuzuia ueneaji wa virusi ili kuukabili ugonjwa huo. Vitendo teknolojia za kufuatilia mawasiliano vimeibua maswalki mengi kuhusiana na faragha, hasa katika: Je inawezekana kukamata kirusi huku tukiheshimu faragha za watu? Sasa kati ya ukinzani nchini Marekani. kinyume na ubaguzi wa rangi, uliofuatwa na wapinzani wengi duniani kote, swali kuu kuhusiana na kufuatilia na kuchukua taarifa za mawasiliano, faragha, na ufuatiliaji mtandaoni vimekuwa muhimu. Teknolijia iliyotumiwa kukamata virusi je inaweza kutumiwa kukamata wapinzani? Itawezekana? Kwa PrivChat yetu ya kwanza, Tor Project inakuletea wageni mashuhuli watatu kuchati nasi kuhusu faragha katika muktadha huu.

Mtunzaji

Roger Dingledine

Roger Dingledine

Roger Dingledine ni rahisi na muanzilishi mwenza wa Tor Project, taasisi isiyoingiza faida na inayozalisha programu za bure na za wazi zinazowalinda watu kuchukuliwa taarifa zao mtandaoni, kudhibitiwa, na ufuatiliaji mtandaoni.
Akivaa kofia moja, Roger hufanya kazi na wanahabari na wanaharakati wa mabara mengi kuwasaidia kuelewa na kujilinda na matishio wanayokutana nayo. Akivaa nyingine, ni mtafiti kiongozi wa mambo ya kutojulikana mtandaoni, kuratibu na kuwaongoza watafiti wa kitaaluma wanaofanya kazi katika mabo yanayohusiana na Tor. Tangu mwaka 2002 amesaidia kuandaa makongamano ya kukuza teknolojia za faragha mitandaoni (PETS).
Katika mafanikio yake, Roger alichaguliwa na wachambuzi wa teknolojia ya MIT kama mmoja ya wagunduzi 35 bora chini ya 35, ni mwandishi mwenza wa taarifa ya utafiti ya iliyoshinda tuzo ya Usenix Security "Test of Time", na amekuwa akitambulika na jarida la Foreign Policy kama mmoja wa global thinkers bora 100.

Washiriki

Carmela Troncoso

Carmela Troncoso

Carmela Troncoso ni Profesa msaidizi katika EPFL (Uswisi) ambapo alikuwa akiongozamaabara ya SPRING. Ana shahada ya adhamili katika Telecommunication Engineering kutoka Chuo Kikuu cha Vigo (2006) na shahada ya uzamivu katika Engineering kutoka KU Leuven (2011). Kabla ya kufika katika EPFL alikuwa mwanachama wa kitivo cha IMDEA Software Institute (Hispania) kwa miaka 2; Kiongozi wa teknolojia ya usalama na faragha katika Gradiant akifanya kazi kwa ukaribu na kiwanda cha kutoa masukuhisho rafiki ya usalama na faragha katika soko kwa miaka 4; na mtafiti nguli katika kundi la COSIC.
Tafiti za Carmela zinalenga katika usalama na faragha. Utafiti wake ulitwa “Muundo na Uchambuzi wa njia za Teknolojia ya Faragha” Alipokea Tuzo ya Muungano wa tafiti wa ulaya katika Informatics and Mathematics Security na mwanafunzi bora wa shahada ya uzamivu. Utafiti na kazi yake katika katika uhandisi wa faragha alipokea tuzo ya Ulinzi wa faragha CNIL-INRIA mwaka 2017. Kila wakati huchapisha machapisho ya kifahari na mazuri katika usalama (mfano. ACM Usalama wa mikutano na Komyuta au USENIX Makongamano ya usalam) na Fragha (Teknolojia za kuongeza faragha).

Daniel Kahn Gillmor

Daniel Kahn Gillmor

Daniel Kahn Gillmor ni mwanateknolijia mkongwe wa ACLU\u2019s miradi ya Hotuba, Faragha, na Teknolojia, aliyelenga katika namna miundo mbinu yetu ya teknikali inaunda jamii na matokeo katika uhuru na wananchi.
Kama mzalishaji wa programu za bure na mwanachama wa mradi wa Debian, amechangia katika vitu vya msingi vinavyounda mazingira ya uwezekano wa taarifa zetu kujitosheleza.
Kama mshiriki wa IETF Alihamasisha uundwaji wa mtandao wa kizazi kipya utaratibu wa kiptografia na kuongeza usalama na faragha. Ni wakili wa kupinga ufuatiliwaji na kukuza faragha, haki, uhuru wa kujielezea, na uhuru wa data. Daniel ni muhitimu wa chuo kikuu cha Brown programu za sayanzi ya Kompyuta.

Matt Mitchell

Matt Mitchell

Matt Mitchell ni m mwanateknolojia wa teknolojia ya udukuzi wa The Ford Foundation. Matt anafanya kazi na BUILD na Teknolojia na kikosi cga Jamii katika Ford Foundation kutengeneza mkakati wa usalama wa kidigitali, Kutoka msaada wa kiteknolojia, na ulinzi na usalama kwa wanufaika wa misaada ya foundation’s .
Wamejitoa kutumia ujuzi wa kidigitali — kama mdukuzi, mtengenezaji, mkufunzi wa usalama katikam utendaji, mtafiti wa usalama, na mwanahabari wa data — wakati wote, Matt amefanyakazi katika hatua mbalimbali katika kuunganisha teknolojia na haki za jamii. Awali mkurugenzi wa Faragha na Usalama wa Kidigitali wa Tactical Tech (pia inafahamika kama the Tactical Technology Collective). Matt amefanya kazi kama kiongozi wa nafunzo ya jitihada za usalama, maafunzo na usalama ya Tactical Tech katika dhima ya kukuza uelewa kuhusiana na faragha, kutoa vifaa vya usalama wa kidigitlai, na kuhamasisha watu kubadili taarifa kuwa vitendo.
Matt ni mtaafiti wa usalama anayefahamika vema, mkufunzi wa usalama katika mutendaji, na mwanahabari wa data ambaye alianzisha & na kiongoziCryptoHarlem, impromptu mafunzo ya kufundisha msingi wa vifaa vya kriptografia kwa jamii za waafrika wamarekani waliopo upper Manhattan.

Mchango wako unafanya mfululizo huu na kazi zetu katika Tor kuwezekana.

Njia bora ya kuunga mkono kazi zetu ni kuwa mchangiaji wa kila mwezi.